Huu ni wito wa dharura!
Mustakabali wa nchi yetu ya Kiyahudi uko hatarini. Nendeni mkapigie kura Likud (Mahal) sasa!
Kuna idadi ya wapiga kura ya juu kuliko kawaida katika sekta ya Kiarabu ikilinganishwa na kiwango cha chini cha wapiga kura wa mrengo wa kulia.
Ni lazima tuzinduke – ni marufuku kubaki nyumbani.
Tunatoka na kupigia kura Likud (Mahal) na kuwatoa watu wengi kadiri iwezekanavyo!