Israel na Ujerumani zaungana kulinda miundombinu ya nishati, kufanya gridi za umeme kuwa za kisasa
Israel na Ujerumani zimetia saini mpango wa pamoja wa ushirikiano wa nishati kwa mwaka 2027, unaolenga kuimarisha usalama wa nishati na kulinda miundombinu.
