Bwana Harusi Ni Miongoni mwa Watu Wanne Waliokamatwa kwa Kumnyanyasa Ngamia Kwenye Video Iliyosambaa Sana ya Harusi
Polisi ya Israel iliwakamata Wapalestina wanne, akiwemo bwana harusi, huko Hebron kwa tuhuma za kumnyanyasa ngamia kwenye video ya harusi iliyosambaa sana.