Waisraeli 40 Wakamatwa Baada ya Kuvuka Kinyume cha Sheria Hadi Syria
Takriban raia 40 wa Israel walikamatwa baada ya kuvuka kinyume cha sherhia hadi Syria katika Siku ya Uhuru, jambo ambalo lilizua lawama kali kutoka kwa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF).